Hiki ndicho Wakenya walicho mfanyia OBAMA
pia baada ya kutangaza ndoa za jinsia moja
Rais OBAMA alitangaza safari ya kwenda kenya
lakini wakenya wengi hawaja penda
wengi ya wakenya hawaja penda safari hiyo
ndipo wakamua kutengeneza picha
inayo Muonyesha Rais OBAMA akiwa WHITE HOUSE uku akiwa amevaa hereni akiwa ame paka wanja na lipstick.
yani yote kupinga safari hiyo ya OBAMA kuzulu Kenya.
Hiki ndicho Wakenya walicho mfanyia OBAMA
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
20:47
Rating:
Post a Comment