PICHA:Askari wa pikipikiwa Jeshi la Police Morogoro waliokua wakitumia pikipiki No.PT823 mali ya jeshi la Police wamewekwa chin ya ulinzi na Raia eneo la Mindu na raia wamemuuwa mmoja wao aitwae Ramadhan Chanzo cha sakata hilo ni ajali ya Pikipiki walio kua wakifukuzia ambapo dreva ilimshinda na kwenda kupalamia roli ndipo raia wakaingilia kati na kumua mmoja wa askar na mmoja kumuacha na kusema hana hatia #BOFYA HAPA

Reviewed by Minister Mwakafwila
on
07:08
Rating:
Post a Comment