Header AD

Nuh Mziwanda Atoa machoz baada ya mpenzi wake SHISHI au Shilole Kubambiwa na Shabiki yake.

Nuh Mziwanda atoa machoz baada ya kuona mpenzi wake kubambiwa vya kutosha na shabiki yake ambae shilole alimwita stage ili acheze nae wakat show ikiendelea ndipo baada ya kuona shabiki kazidisha viuna na Shishi kuzisisha msufundi ndipo Nuh alipo angusha kilio na machoz kumdondoka
Shabiki akifurahia maufund ua shishi
Shishi ikabidi achie kila kitu baada ya kuona shabiki kazid njonjo.
Shabiki kwa mbwembwe zote
Shishi Akiwa ameregea kabisa kwa shabiki huyo
SHISHI BABY AKIWA CHIN SHABIKI JUU AKIWA ANAZIDI KUM'BAMBIA SHIROLE
Nuh Mziwanda Atoa machoz baada ya mpenzi wake SHISHI au Shilole Kubambiwa na Shabiki yake. Nuh Mziwanda Atoa machoz baada ya mpenzi wake SHISHI au Shilole Kubambiwa na Shabiki yake. Reviewed by Minister Mwakafwila on 09:48 Rating: 5

Hakuna maoni