Ajari iliyo tokea Mikumi Muda Huu na Basi La NGANGA
Basi lililo kua likitokea Mkamba wilayan Kilombero likielekea Mbeya limepata ajari ya kuungua na Moto wame fariki watu KUMI NA NANE (18) na mpaka sasa aijajulikana chanzo cha ajali hiyo BASI HILO NI NGANGA Linalo fanya safari zake KILOMBERO to MBEYA
Na hii ndio Baadhi ya Miili ya Marehemu walo ungua kwenye Basi la NGANGA Dah uwezi amin kua kwel Mwana dam huweza kua hivi lakini kwa hili amini Chamdingi ni kuwaombea marehem kwa haya yoyote yalo tokea hakuna alie jua kama itatokea kuhusu ajali hiyo lakin kwahili inabidi tumtangulize mungu kwa haya yote BWANA ALITWAA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA NA LIBARIKIWE AMINA.
Ajari iliyo tokea Mikumi Muda Huu na Basi La NGANGA
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
05:02
Rating:
BWANA ALITWA NA BWANA AMETWA JINA LA LABWANA LIBARIKIWW
JibuFuta