Header AD

Huyu ndiye Mchumba mpya wa Nay wa Mitego baada ya yule alie kua mchumba wake ambae ilionekana wamezaa mtoto mmoja ambae ikaonekana kua sio Mtoto wa Nay

Baada ya Nay wa Mitego kuachana na aliekua mpenz wake ambae ilitambulika kua wame zaa mtoto mmoja lakini kumbe kule kule kote kumbe ilikua kazi bure Nay wamitego alikua akilea mzigo sio wake alikua anawalelea wajanja wa Town ambao wanajua kutia mimba, 
Nasasa Nay angukia kwanye Penzi la Mwana Bongo Movi Mrembo mtoto asiye jisikia mbele ya watu mtoto Mashall Toto toto yani ni bongela Mrembo nae kaisha kufa kwa mwana Music huyu anetamba na video yake ya Akadumba amchanganya sana dada huyu wa Bongo Muvi SHAMSA FORD Mwana dada ambae hanaga scandar za ajabu ajabu kama we nginene
SHAMSA FORD AKIWA NYUMBANI KWA NAY 
SHAMSA FORD AKIPIGA KISI PICHA YA NAY AMBAYO IPO MBELE YA JIM YAKE NYUMBANI KWA NAY
NAY WA MITEGO NASHAMSA FORD WAKI NYINYANA MIDOMO YAO KUONYESHA ISHARA YA UPENDO WAO NA PENZI LAO JIPYA WALILO ANZINZA BAADA YA KILA MMIJA KUACHANA NA MWENZI WAKE WA ZAMANI NA KUANZA MAISHA MAPYA YA KIMA PENZI
MTOTO MZURI   AKITAZAMA PICHA YA BABAA INAYO MFANYA ASIJISIKIE USINGIZI KILA ANAPO IONA MBELE YAKE
Huyu ndiye Mchumba mpya wa Nay wa Mitego baada ya yule alie kua mchumba wake ambae ilionekana wamezaa mtoto mmoja ambae ikaonekana kua sio Mtoto wa Nay Huyu ndiye Mchumba mpya wa Nay wa Mitego baada ya yule alie kua mchumba wake ambae ilionekana wamezaa mtoto mmoja ambae ikaonekana kua sio Mtoto wa Nay Reviewed by Minister Mwakafwila on 00:33 Rating: 5

Hakuna maoni