Header AD

Hili ndilo kundi linalo kuja kwa kasi

Hili ndilo kundi la Music Bongo linalo kuja kwa kasi linalo tokea mkoani MOROGORO wilayani KILOMBERO ni vijana wanne ambao wametumbukia DAR ES SALAAM Ili kufanya mapinduzi ya music Bongo wanakwenda kwa jina la UDZUNGWA BAND wameamua kulitumia jina hilo kwa kutangaza ifadhi inayo toka mkoan MOROGORO.

Hili ndilo kundi linalo kuja kwa kasi Hili ndilo kundi linalo kuja kwa kasi Reviewed by Minister Mwakafwila on 01:41 Rating: 5

Hakuna maoni