BAADA MANENO MENGI ZALI AMUA KUONYESHA KITUMBO
Baada ya maneno mengi mwana MAMA ZARI alie zama kwenye penz la super star MTANZANIA DIAMOND PLATNUMZ anaye tamba na video na audio yake alio mshirikisha KHADIJA KOPA inayo kwenda kwa jina la NASEMA NAWE sasa mwana mama ZARI apiga picha na kufunua kitumbo chake kukata viulimi ba vimaneo vya watu yakua kweli yeye ni mjamzito na amesema kua anamimba ya DIAMOND PLATNUMZ leo akiwa home aka makazi mapya ya super star DIAMOND huko Tegeta kwenye mjengo mpya wa DIAMOND PLATNUMZ.
BAADA MANENO MENGI ZALI AMUA KUONYESHA KITUMBO
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
09:58
Rating:
Post a Comment