Linah amua kuianika Mimba yake Adharani
Mwana mziki machachali Bongo kwa upande wa wasanii wa kike Bongo Linah Sanga (Linah) ameamua kuweka adharan mimba yake ambayo ni kubwa tu na Kuandika maneno haya
SIO ZARI ; LULU AU UNT EZEKIEL HATA SISI TUNA MATUMBO YA KUBEBEA ………TOTO…………@………LINAH……SANGA…
MAMA LINAH AKISHIKA KITUMBO CHAKE CHENYE KIJACHO CHAKE
Linah amua kuianika Mimba yake Adharani
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
20:33
Rating:
Post a Comment