Msanii wa Bongo Fleva Shetta anaomba msaada kwa Watanzania au mtanzania yeyote mwenye uwezo wa kumsaidia kumuomba msamaha Mkewe Mama kaira Baada ya kutokea Mtafaruko wa ndoa yake Baada ya Kusemekana Shetta alila kitanda kimoja na Rose Nfauko Huko Mkoani Motogoro
msaada kwa kila mmoja ambaye anamjua mkewe aweze kumuombea msamaha ili mkewe aweze rudi home
Msanii wa Bongo Fleva Shetta anaomba msaada kwa Watanzania au mtanzania yeyote mwenye uwezo wa kumsaidia kumuomba msamaha Mkewe Mama kaira Baada ya kutokea Mtafaruko wa ndoa yake Baada ya Kusemekana Shetta alila kitanda kimoja na Rose Nfauko Huko Mkoani Motogoro
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
14:38
Rating:
Post a Comment