Header AD

Hawa ndo wana Music wanao unda kundi zima la OBEY CREW Kutoka Moro Town

Hawa ndio wale vijana watatu kutoka Morogoro ambao wameingia kwenye game ya music kufanya Mapinduzi ya music Bongo Na nje ya Bongo wamejipanga kuifanya Bongo ikawa kwenye Chat mbali mbali za Music Dunian
Vijana wakionyesha furaha ya pekee wakiwa pamoja 
Vijana watana shati wakiwa katika poz zao Mbalimbali.
Hawa ndo wana Music wanao unda kundi zima la OBEY CREW Kutoka Moro Town Hawa ndo wana Music wanao unda kundi zima la OBEY CREW Kutoka Moro Town Reviewed by Minister Mwakafwila on 10:40 Rating: 5

Hakuna maoni